Kidato cha pili 435,221 waanza mitihani ya taifa

Dkt Charles Msonde - Katibu Mtendaji NECTA

Wanafunzi wa kidato cha pili nchini wapatao 435,221 wameanza kufanya mitihani yao ya upimaji wa kuendelea na kitado cha tatu katika shule za Sekondari zipatazo 4,669 kwa upande wa Tanzania bara.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS