RC Rukwa aadhimisha uhuru kwa kutamani kiwanda
Mkuu wa Mkoa wa Ruwa Kamishna Mstaafu Zelote Stephen Zelote amewaagiza wakuu wake wa wilaya kwa kushirikiana na halmashauri zao pamoja na wananchi kuwa na kiwanda angalau kimoja ili kutekeleza kauli mbiu ya maadhimisho miaka 55 Uhuru kwa vitendo

