Rais Magufuli na Rais mstaafu wa Afrika Kusini Thabo Mbeki. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na kumpokea Rais Mstaafu wa Afrika Kusini Thabo Mbeki mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam. Read more about Rais Magufuli na Rais mstaafu wa Afrika Kusini Thabo Mbeki.