Kesi ya Lema na mkewe yakwama kusikilizwa Godbless Lema na Mkewe Kesi ya kumtukana Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo, inayomkabili Mbunge Jimbo la Arusha Mjini, Godbless lema na mke wake Neema Lema (33), imeshindwa kusikilizwa maelezo ya awali. Read more about Kesi ya Lema na mkewe yakwama kusikilizwa