Azam yawajaribu tena wachezaji wake wapya leo

Azam katika majaribio

Timu ya Azam FC inatarajia kucheza mchezo wake wa kirafiki dhidi ya Ruvu Shooting leo usiku ikiwa ni nafasi ya benchi la ufundi kufanyia tathmini kikosi hicho kabla ya kuongeza nguvu mpya kwenye usajili wa dirisha dogo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS