Mwili wa kichanga waokotwa Jijini Mwanza Kamanda wa Polisi Mkoa wa mwanza, Ahmed Msangi Mtoto mchanga wa kiume anayekadiriwa kuwa na umri wa siku moja Jijini Mwanza amekutwa ametelekezwa kwenye makazi ya watu na mtu asiyefahamika baada ya kujifungua. Read more about Mwili wa kichanga waokotwa Jijini Mwanza