Ligi ya vijana U-20 kuzinduliwa kesho Kaitaba
Ligi ya Vijana wenye umri wa chini ya miaka 20 za klabu zote za Ligi Kuu ya soka Tanzania Bara inatarajiwa kuanza kesho, kwa mchezo maalum wa ufunguzi utakaofanyika katika Uwanja wa Kaitaba, Bukoba, mkoani Kagera.