Ujerumani yatoa msaada kusaidia wakimbizi Balozi wa Ujerumani Nchini Egon Konchake Ubalozi wa Ujerumani nchini Tanzania umetoa shilingi bil 26.4 kwaajili ya kusaidia katika kuwahudumia wakimbizi waliopo nchini kutoka nchi mbalimbali za Afrika. Read more about Ujerumani yatoa msaada kusaidia wakimbizi