Magonjwa yasiyo ya kuambukizwa kutokomezwa 2030 Dkt. Magreth Mhando Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na watoto, imesema kuwa kufikia mwaka 2030 inatarajia kupunguza moja ya tatu ya vifo vinavyotokana na magonjwa yasiyo ya kuambukiza. Read more about Magonjwa yasiyo ya kuambukizwa kutokomezwa 2030