Rais Magufuli asamehe wafungwa 5,678
Katika kuadhimisha miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara tarehe 9 Desemba, 2016 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kutumia madaraka aliyopewa na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ametoa msamaha kwa wafungwa 5,678.

