Serikali yakiri kuwepo kwa vikwazo vya biashara
Serikali inalenga kuharakisha utoaji wa vibali kwa wawekezaji ili kurahisisha ufanisi ambapo mlolongo wa taratibu zote za kiusajili zitapunguzwa kwa lengo la kuondoa vikwazo vya uwekezaji na biashara nchini.