Kevin Love aweka rekodi mpya NBA Kevin Love Kevin Love ameweka rekodi mpya kwenye NBA kwa kufunga pointi 34 kwenye robo ya kwanza na kusaidia Cleveland Cavaliers kushinda vikapu 137-125 dhidi ya Portland Trailblazers. Read more about Kevin Love aweka rekodi mpya NBA