Muhimbili yafanikisha upasuaji wa kihistoria
Madaktari wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili leo kwa mara ya kwanza wamefanya upasuaji maalum kwa kutumia darubini kuhamisha misuli na mishipa ya damu toka kwenye mguu kwenda sehemu nyingine chini ya mguu.