Ripoti ya uchunguzi wa mali za BAKWATA yakabidhiwa
Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakari Zuber leo amekabidhiwa ripoti ya awali iliyoandaliwa na tume ambayo ameiunda kwa ajili ya kufanya uchunguzi na kuzibainisha mali zote za Baraza kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA).