Kapombe atuma salamu kwa wapinzani Shomari Kapombe Mara baada ya kupona majeraha ya nyonga, beki wa kulia wa Azam FC Shomari Kapombe amesema, hivi sasa anapambana vilivyo kurejesha makali yake yaliyomfanya akubalike na mashabiki wa timu hiyo. Read more about Kapombe atuma salamu kwa wapinzani