Gabo akitoa shukrani zake baada ya kupokea tuzo katika usiku wa EATV Awards
Muingizaji wa Bongo Movie Gabo ambaye alishinda tuzo mbili usiku wa EATV AWARD ikiwemo tuzo ya muingizaji bora wa kiume na filamu bora ya mwaka amesema anajiona kama Donald Trump baada ya kushinda tuzo hizo.