Wasichana zaidi ya 7,000 wakatishwa masomo Mwanza Wanafunzi wa shule ya Sekondari Pamba, Jijini Mwanza Zaidi ya wasichana 7,000 wa shule za msingi na sekondari mkoani Mwanza wamekatishwa masomo kutokana na sababu mbalimbali hasa kupata mimba za utotoni. Read more about Wasichana zaidi ya 7,000 wakatishwa masomo Mwanza