Sababu matatizo ya moyo kwa watoto hazijafahamika
Sababu ya asilimia kubwa ya watoto duniani kuzaliwa wakiwa na matatizo ya moyo bado haijabainika hivyo suala la watoto kupimwa ugonjwa wa moyo wakiwa bado tumboni ni muhimu ili kupunguza idadi yao wanaopoteza maisha kwa kukosa matibabu ya matibabu