CCM kutoa kauli kuhusu hali ya kisiasa Zanzibar
Halmashauri kuu ya Taifa ya Chama cha Mpinduzi CCM imeagiza kuundwa kwa kamati maalum ya kufanya tathmini ya kina kuhusu hali ya kisiasa Zanzibar kwa ujumla na masuala yanayohusu uchaguzi wa Zanzibara 2015.

