Mvua yasababisha maafa Katavi

Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Meja Jenerali Raphael Muhuga.

Nyumba 57 zilizopo katika kijiji cha Mirumba, wilayani Mlele, Mkoani Katavi zimeezuliwa mapaa, huku watu saba wakijeruhiwa baada ya mvua kubwa iliyoambata na upepo kunyesha kijijini hapo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS