Magufuli afanya mageuzi makubwa CCM

Dkt John Magufuli - Mwenyekiti CCM Taifa

Mwenyekiti wa CCM Dkt. John Pombe Magufuli ameongoza kikao cha halimashauri kuu ya taifa ya CCM  na kusema kuwa anataka kuwa na chama kinachoongozwa na wanachama badala ya chama kinachoongozwa na mwanachama.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS