Machinga Mwanza 'wamtunishia misuli' DC

Mary Tesha - Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana

Wafanyabiashara ndogondogo  (machinga) Jijini Mwanza wamefanya mkutano asubuhi ya leo lengo kubwa likiwa ni kuipinga kauli ya mkuu wa wilaya ya Nyamagana Marry Tesha  yakuwataka waondoke ndani ya siku 7.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS