Tuzo za Eatv ni baraka kwangu - Joh Makini
Rapa mkali katika tasnia ya Bongo Fleva Joh Makini, amemwaga furaha yake ya kuwa miongoni mwa wasanii walioingia katika vita ya kuwania tuzo za EATV 2016 kupitia ngoma yake ya Don Bother na kusema kuwa kwake hiyo ni baraka.