Nimeamua kubadilika kufuata soko la hip hop: M-Rap
Rapa M-Rap anayetikisa kwenye uga wa Bongo Fleva na ngoma yake mpya aliyoibatiza jina la 'It is not too late' amefunguka sababu za kubadili mtindo wake wa kuchana katika ngoma hiyo, na kusema kuwa amebadilika ili kufuata soko la muziki huo kwa sasa.