"Kifo changu shetani hatatangulia kujua" - Bahati Bahati Bukuku Mwanamuziki wa nyimbo za Injili Bahati Bukuku ambaye hivi karibuni amezushiwa kufariki dunia kwa ajali, amekanusha taarifa hizo na kusema zimeandaliwa na watu wanaotaka kumpunguzia mashabiki. Read more about "Kifo changu shetani hatatangulia kujua" - Bahati