CHADEMA yatoa kauli kutoweka kwa Ben Sanane Chama cha CHADEMA kimeiomba serikali kuwasaidia kupata ufumbuzi kwa kupotea kada wa chama hicho Bwana Ben Sanane ambaye pia ni Msaidizi wa Mwenyekiti Taifa wa Chama hicho Mhe. Freeman Mbowe. Read more about CHADEMA yatoa kauli kutoweka kwa Ben Sanane