Urusi yazionya nchi za magharibi kuhusu waasi Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi Bw. Sergei Lavrov amezikosoa nchi za Magharibi kwa kile alichodai kuwa ni kufumbia macho vitendo vya makundi ya kigaidi vya kutumia silaha za kemikali nchini Syria. Read more about Urusi yazionya nchi za magharibi kuhusu waasi