Wenye ualbino wapatiwa mafunzo ya ujasiriamali
Shirika linalojihusisha na utetezi kwa watu wenye ulemavu wa ngozi Under The Same Sun, limeendesha mafunzo kwa albino nchini kuhusu jinsi wanavyoweza kukabilana na changamoto katika soko la ajira pamoja na ushiriki wao katika shughuli za ujasiriamali