Sababu mpya ya foleni za barabarani yatajwa
Kamanda wa kikosi cha Usalama Barabarani nchini Mohamed Mpinga, amewataka wananchi kuvumilia hali ya foleni kubwa inayojitokeza katika barabara za miji mikubwa, ambayo amesema inasababishwa na ongezeko kubwa la magari.

