Wamachinga Mwanza wagoma kuondoka Town Wafanyabiashara ndogondogo jijini Mwanza maarufu kama wamachinga, wamepinga agizo linalowataka waondoke katika maeneo wanayofanyia biashara katika kipindi kisichozidi siku saba. Read more about Wamachinga Mwanza wagoma kuondoka Town