Polisi kukamata wazazi wanaoficha ukatili
Serikali mkoa wa Kilimanjaro imeliagiza Jeshi la Polisi kuwakamata wazazi na walezi watakaobainika kuficha taarifa za matukio ya ukatili wa kijinsia kwa watoto kutokana na uwepo wa ongezeko la matukio hayo kwa imani za kishirikina.