Baraka awacharukia wanaoponda usajili wa Lord Eyes
Msanii Baraka The Prince ambaye hivi karibuni ametangaza kumsaini Lord Eyes kuwa chini ya lebo yake ya kurekodi ya BANA, amewajibu watu wanaoponda kitendo hicho wakisema ni jambo la aibu, na kuwaambia wana ufinyu wa mawazo.

