Wanafunzi wa kike 141 wakatisha masomo

Wanafunzi wa kike 141 katika baadhi ya shule za msingi na sekondari katika wilaya ya Muleba mkoani Kagera wamesitisha masomo yao baada ya kupata ujauzito wa katika kipindi cha kuanzia 2012 hadi mwanzoni mwa mwezi Machi mwaka huu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS