Prof Jay amfungulia Darassa njia ya mafanikio
Msanii mkongwe wa hip hop nchini Prof. Jay amefunguka na kumtaka rapa mwenzake anayetikisa hivi sasa Darassa, asiridhike na mafanikio aliyonayo sasa bali azidi kupambana zaidi kwani huu ni mwanzo wa mafanikio makubwa yaliyoko mbele.
