Usidanganywe Pesa sio kitu kwenye mahaba -Mwana FA Siku kadhaa baada ya kuachia ngoma mpya 'Dume Suruali', rapa Khamis Mwinjuma ‘Mwana Fa’ amesema kwenye uhusiano wa mapenzi fedha ni kitu cha ziada hivyo zisipewe kipaumbele. Read more about Usidanganywe Pesa sio kitu kwenye mahaba -Mwana FA