TOC mpya yajiweka kando safari ya Japan 2020 Henry Tandau - makamu wa Rais TOC Viongozi wa vyama vya michezo nchini wametakiwa kuwa na mkakati mzuri wa kuwaandaa wachezaji wao ambao wanatarajiwa kushiriki katika Mashindano ya Olimpiki 2020 jijini Tokyo nchini Japan. Read more about TOC mpya yajiweka kando safari ya Japan 2020