
Mwenyekiti wa machinga hao Bw. Said Tembo amesema wao kama wafanyabiashara ndogo ndogo wapo katika maeneo hayo kihalali kulingana na agizo alilolitoa rais Magufuli Agosti mwaka huu.
Kwa mujibu wa Bw. Tembo, wao kama wafanyabiashara wanasimamia kauli ya rais aliyoitoa juu ya machinga kutokuondolewa mjini badala yake watengewe maeneo mengine ambayo yako katikati ya mji na si nje ya mji kama ambavyo inataka kufanywa hivi sasa.
________________
Kumpigia KURA msanii unayempenda kwenye #EATVAwards Bofya hapa https://www.eatv.tv/awards