Nitampenda Dully mpaka kufa kwangu - Alikiba
Msanii wa bongo fleva Alikiba aliyeshinda tuzo tatu usiku wa EATV AWARD ikiwemo video bora ya mwaka, mwanamuziki bora wa mwaka na wimbo bora wa mwaka ameshukuru kukutana na Dully na kusema hana tatizo nae na kwamba anampenda sana.
