Vodacom yawatengea wateja wake shilingi bilioni 5
Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania imetenga shilingi bilioni tano kama zawadi kwa wateja wake katika msimu huu wa sikukuu za mwisho wa mwaka, kupitia kampeni ijulikanayo kama 'Nogesha Upendo' inayoanza rasmi hii leo.

