Madee ajibu tuhuma zinazomkabili Babu Tale

Madee

Msanii Madee ambaye ni miongoni mwa wasanii viongozi wa Tip Top inayosimamiwa na Babu Tale, amejibu tuhuma za meneja wao huyo kuitelekeza Tip Top na kuegemea zaidi kwa Diamond Platnumz.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS