Viwanda zaidi ya 1,500 vyajengwa ndani ya mwaka

Charles Mwijage - Wazir wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji

Serikali imesema viwanda zaidi ya 1500 vimeshajengwa tangu serikali ya awamu ya tano iingie madarakani na kwamba kinachotakiwa sasa ni kwa wazalishaji kutafuta taarifa muhimu zinazohusu masoko na taratibu kwa ajili ya bidhaa zinazozalishwa na viwanda

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS