Rais Magufuli aeleza sababu ya kuvunja bodi ya TRA
Rais wa Tanzania Dkt. John Magufuli amevunja ukimya na kueleza sababu za kuvunja bodo ya Mamlaka ya Mapato (TRA), kuwa ni kutokana na bodi hiyo kubariki maamuzi ya TRA kupeleka fedha zake katika benki za biashara jambo ambalo ni hasara kwa serikali.