Bilioni 3 za mafuta ya magari hewa zatafunwa Posta
Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Posta Tanzania imeuagiza uongozi wa shirika hilo kuwatambua na kuwafikisha mbele ya vyombo vya sheria, wafanyakazi wake waliolisababishia shirika hilo hasara kupitia mikataba ya kilaghai pamoja na utendaji mbovu