Degree ya hisabati inavyonibeba kimuziki - Wahu Wahu akiwa katika jukwaa la EATV Award Msanii nguli wa muziki kutoka nchini Keny mwanadada Wahu ameeleza jinsi elimu yake ya shahada hisabati aliyoipata katika chuo kikuu cha Nairobi, inavyomsaidia katika shughuli zake za muziki. Read more about Degree ya hisabati inavyonibeba kimuziki - Wahu