Mwigulu awataja waliokutwa wamekufa mto Ruvu
Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe. Mwiguli Nchemba amesema kuwa huenda watu waliokutwa wamekufa na kutupwa kwenye mto Ruvu kwa kufungwa kwenye viroba walikuwa ni wahamiaji haramu ambao walikumbwa na mkasa huo toka kwa wasafirishaji wa wahamiaji hao.

