Waisilamu wapewa somo sikukuu ya Maulid
Leo ni siku ya Mapumziko ya Maulid ya kuzaliwa kwa Mtume Mohammad (S.A.W), ambapo waislamu nchini wametakiwa kuzingatia maadili wanapokuwa sehemu zao za kazi ili waweze kutenda haki kwa wananchi bila kujali itikadi zao.

