Sishindani na mtu kwenye muziki - Alikiba
Nyota wa muziki katika bongo fleva aliyetwaa tuzo 3 ikiwemo ya mwanamuziki bora wa kiume katika tuzo za EATV, Alikiba amesema hashindani na mtu yoyote kwenye muziki, bali anafanya muziki mzuri kulingana na hisia zake.

