Tanzania yapiga hatua katika haki za binadamu
Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan, amesema, Serikali ya Tanzania imepiga hatua kubwa katika kulinda na kutetea haki za binadamu kwa kuzingatia maazimio mbalimbali ya ndani ya nchi na ya kimataifa ikiwemo haki ya kuishi.