Simba yamchapa barua Rais wa TFF, Jamal Malinzi Uongozi wa klabu ya Simba Uongozi wa klabu ya Simba umelitaka Shirikisho la Soka nchini TFF kukaa na Kamati ya Utendaji ya klabu hiyo ili kuweza kujua tatizo linalochangia kutokusikilizwa kwa malalamiko yao. Read more about Simba yamchapa barua Rais wa TFF, Jamal Malinzi