Sikukuu ya Maulid kuadhimishwa kwa kuchangia damu
Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeir Bin Ally ametangaza siku kuu ya kuzaliwa Mtume Muhamad ya Maulid maarufu kwa jina la Maulid Day, kitaifa itasomwa usiku wa tarehe 11 mwezi wa 12 mwaka 2016 katika Mkoa wa Singida Wilaya ya Iramba.